Mdau Godfrey Rocky (aliyevaa kofia), mdau Aaron na rafiki yao wakiwa katika shughuli ya kumpongeza Rocky aliyesherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa tarehe 17/4/09
Rocky akipongezwa
Wadau wa karibu wa Bw. Rocky wakipata chakula cha jioni pamoja katika shughuli ya kumpongeza Rocky.

hongereni wadau wa trichy
ReplyDeleteongera zako Mr. Rock, mtoto wa balozi...
ReplyDelete