Monday, April 20, 2009

GODFREY ROCKY ASHEREHEKEA SIKUKUU YAKE YA KUZALIWA NA MARAFIKI ZAKE

Mdau Godfrey Rocky (aliyevaa kofia), mdau Aaron na rafiki yao wakiwa katika shughuli ya kumpongeza Rocky aliyesherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa tarehe 17/4/09
Rocky akipongezwa
Wadau wa karibu wa Bw. Rocky wakipata chakula cha jioni pamoja katika shughuli ya kumpongeza Rocky.

2 comments:

  1. hongereni wadau wa trichy

    ReplyDelete
  2. ongera zako Mr. Rock, mtoto wa balozi...

    ReplyDelete